| Wanachi wa Kata ya Kalenga walio hudhuria kwenye mkutano wa ufunguzi,wa kampeni za Ubunge katika Jimbo la Kalenga -Iringa Mjini |
| Chief wa Wahehe akisalimia wananchi katika mkutano wa adhara |
| Ndugu Benson Kigaila akisema neno la Ufunguzi wa Kampeni za ubunge |
| Katibu Mkuu wa Chadema Dir Wilbroad Slaa akifungua rasmi Kampeni za Ubunge Kalenga |
| Silaa za Ushindi |
| Katibu Mkuu wa Chadema Dir Wilbroad Slaa akifungua rasmi Kampeni za Ubunge Kaleng |
| Mbunge mtarajiwa Bi Grace Mvanda Tendega akinadi sera zake kwa wananchi |
| Katibu Mkuu wa Chadema Dir Wilbroad Slaa akimnadi Bi Grace Mvanda Tendega kwa wananchi wa Kalenga |
| Nguvu ya Umma |
| Katibu Mkuu wa Chadema Dir Wilbroad Slaa akiwa ameongozana na Mgombea Ubunge Kupitia CHADEMA Bi Grace Mvanda Tendega,baada ya kumalizika kwa mkutano |
| Huu Ndio Msafara wa kumsindikiza Bi Grace Mvanda Tendega kutoka Kata ya Kalenga Kurudi Iringa Mjini |
| Bi Grace Mvanda Tendega kwenye gari katika msafara kutoka Kata ya Kalenga Kurudi Iringa Mjini |
No comments:
Post a Comment