| Hatimaye Bw Harusi Joshua Nassari anateremka katika usafiri wake aina ya Range Rover muda mfupi baada ya kufika katika viwanja vya kanisala la Kilinga maarufu kama kwa Mchungaji Babu. |
| Wageni mbalimbali walihudhuria ibada hiyo ya ndoa mmoja wapo ni huyu ,Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai(katikati) |
| Bibi Harusi Anande Nnko alikuwa ni mwenye furaha kila wakati ,”Full Tabasamu.” |
| Wenyeji katika shughuli hiyo akiwemo mzee Samweli Nassari ,baba mzazi wa Jishu walikuwa wamevalia mavazi nadhifu aina ya suti wakingojea ugeni uliokuwa ukiwasili katika kanisa la Kilinga. |
| Hataimaye Bw Harusi Joshua Nassari akaingia kanisani yeye na wapambe wake na hapa anaye ngojewa ni Bibi Harusi Anande Nko. |
| Bi Harusi Anande Nko akashuka katika gari alilokuja nalo aina ya Land Cruser VX. |
| Bwaa Harusi Joshua Nassari akamvisha pete mkewe Anande Nnko. |
| Bibi Harusi Anande Nnko akamvisha pete mumewe Joshua Nassari |
| Kisha Maharusi wakapongezana. |
| Maharusi wa wakawekewa mikono na Maskofu wakiongozwa na Askofu mkuu wa kanisa la Pentekoste Tanzania (PCT) David Batenzi. |
| Maharusi wakiwasalimia waumini waliohudhuria ibada hiyo (hawapo pichani) |
| Maharusi wakionesha pete zao za ndoa muda mfupi baada ya kuvishana. |
| Uthibitsho wa ndoa ni vyeti vya ndoa ,na hapa maharusi wakitia saini katika vyeti vyao. |
| Wagebi mbalimbali walihudhuria ibada hiyo ,na hapa ni mbunge wa Viti maalum Lucy Owenya (wa kwanza) |
| “Mmetuona “ni kama ndio maneno yaliyokuwa vichwani mwao maharusi ,Joshua Nassari na Anande Nnko wakionesa vyeti vyao vya ndoa. |
| Gavana wa kwanza wa Tanzania Mzee Edwin Mtei na Mama Mtei pia walikuwa katika inada hiyo. |
| Wazazi wa Maharusi ,Joshua Nassari na Bi Anande Nnko. |
| Bw na Bi Joshua Nassari na wakiweka Sadaka zao katika kapu la sadaka. |
| Maharusi ,wakapata nafasi ya kusalimiana na Mzee Edwin Mtei. |
| Ibada ya ndoa ikawa imefika tamati na maharusi wakatoka kanisani tayari kwa msafara wa magari kuelekea uwanjani. |
| Mbunge Joshua Nassari na Anande Nnko wakiwa mbele ya zawadi yao ya Ng’ombe ilitolewa na waumini wa Kanisa la Kilinga ambako ibada ya ndoa ilifanyika,kanisa linaloongozwa na Mchungaji Babu. |
| Mbunge Joshua Nassari na Anande Nnko wakiteta jambo . |
| Baba Mzazi wa Joshua Nassari,Mzee Samwel Nassari akimpongeza mwanae kwa hata hiyo. |
| Mamsapu akianza majukumu ya kuhakikisha Mzee anakuwa nadhifu kila wakati. |
| Maharusi wakaaga katika viwanja vya Kanisa la Kilenga . |
| Msafara ukaanza safari ya kuelekea barabara kuu ya Moshi/Arusha ukitokea kanisani Kilinga. |
| Baadae maharusi wakabadili gari ili waweze kuonekana vyema na wakazi wa jimbo la Arumeru Mashariki. |
| Maharusi wakiwa katika gari la wazi huku wakipunga mikono kwa watu waliokuwa barabarani. |
| Mharusi waki “Show Love” |
| Kila sehemu msafara wa magari ya maharusi ulipopita ,wakazi wa maeneo hayo walionesha furaha zao . |
| Barabarani kulijaa watu wakimshangilia Mbune wao akijinyakulia Jiko. |
| Kama kawaida Jasiri haachi asili na muacha asili ni hasidi na hana akili. |
No comments:
Post a Comment