| Mh Amani Golugwa ,akiongea na wajumbe wa kutano wa Jimbo la Moshi Vijijini katika ufunguzi |
| Mh Grace Kiwelu akifungua rasmi shughuli za uchaguzi wa Moshi Vijijini kwa kuwahasa wapiga kura kuchagua mtu ambaye ni sahihi na ambaye anaweledi na mwadilifu katika kazi |
| wajumbe wa mkutano mkuu wa Jimbo la Moshi vijijini |
| Uongozi mpya wa Jimbo la Moshi vijijini |
| Wajumbe wakiimba wimbo wa Taifa |
| Viongozi wakiimba wimbo wa Taifa |
No comments:
Post a Comment