| Mwemyekiti wa Kanda ya Mh Israel Natse akifungua Uchaguzi wa Mabaraza Ya Mkoa wa Kilimanjaro |
| Wajumbe wa Baraza la Wazee |
| Mbunge wa Moshi Mjini Mhe: Philemon Ndezamburo Akiwa Na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe: Godbless Lema |
| Wageni wa Alikwa ndugu Heanry Kileo na James Millya wakiwa na wenyeji wao Lucy Owenye na Grace Kiwelu |
| Mhe: Philemon Ndessamburo akiwaslimia na kuwakaribisha wajumbe na wageni waalikwa kwenye Uchaguzi wa mkoa wa Kilimanjaro |
| Uongozi uliomaliza Muda wake kabla haujavunjwa rasmi na mwenyekiti wa Kanda Mhe Israel Natse |
| Wajumbe wa Baraza la mashauriano la Mkoa wa Kilimanjaro |
| Wajumbe wa Baraza la mashauriano la Mkoa wa Kilimanjaro |
| Wageni waalikwa Kutoka Mkoa wa Arusha |
| Mhe: Philemoni Ndessamburo akitoa Neno la Shukrani baada ya kuchaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa mkoa wa Kilimanjaro |
| Uongozi mpya wa Mkoa wa Kilimanjaro katika Picha ya Pamoja. |
No comments:
Post a Comment