| Mafuriko ya haribu miundombinu katika wilaya ya Moshi Vijijini |
| Mhe Lucy akitembelea maeneo yalio athiriwa na mafuriko |
| Mazao yameharibiwa kabisa na mafuriko hayo |
| Hii ndio hali halisi ,miundo mbinu ya barabara imeharibiwa na kujaa maji |
| Makamanda wakiteremsha msssda wa vyakula ulio tolewa na Mhe Lucy |
| Mhe Lucy akimfariji mhanga wa mafuriko |
| Mhe Lucy akikabidhi msaada wa vyakula kwa wahanga wa mafuriko |
| Diwani wa kata ya Arusha Chini Rojas Mmari akizungumza jambo mara baada ya wananchi wake kukabidhiwa msaada huo. |
No comments:
Post a Comment