| Mwenyekiti wa Kanda Mhe Israel Natse akiongoza msafara wa Viongozi na Wabunge wa Chadema Kaskazini Kuingia Uwanjani -Viwanja vya Shule ya Msingi Ngarenaro Mjini Arusha |
| Profesor Jay akiwa na Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Arusha Mhe Rebecca Mgodo pamoja na Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Arusha Kamanda Exaud Mamuya |
| Wabunge wa Chadema Kanda ya Kaskazini |
| Arusha katika Ubora wake |
| Mwenyekiti wa Arusha Mjini Magoma JR Magoma akiongea na wananchi wa Arusha Mjini |
| Mbunge wa Viti Maalum Mhe Joyce Mukya "HUU NDIO MUDA MUAFAKA WA KUHAMASISHANA KWENDA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA," Tujitokeze kwa wingi |
| Mhe Ceccilia Paresso amewataka watanzania kujitokeza kwenda kujiandikisha pindi daftari litakapo fika katika maendeo yao |
| Mhe Pauline Gekulu "NDUGU ZANGU HUU NDIO MUDA PEKEE WA KUJIANDIKISHA NA UPATE KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA UTAKACHO KITUMIA KUPIGA KURA OCTOBER NA KUIONDOA CCM MADARAKANI" |
| Mhe Joseph Selasini katika ubora wake |
| Mhe Joshua Nassari amewataka wana arusha na watanzania kuhakikisha wana hamasishana kwenda kujiandikisha |
| Hizi ndio Ambulance 2 alizo zitoa Mhe Nassari jimboni kwake na Leo amezitambulisha kwenye mkutano wa adhara Arusha Mjini |
| Profesor Jay katika Ubora wake Arusha Mjini |
| Katibu wa Kanda Mhe Amani Golugwa katika ubora wake |
| CHADEMA ni chama watu wa rika zote |
| Mwenyekiti wa Kanda Mhe Israel Natse katika Ubora wake |
| KATARINA |
| Rose Urio ( KATARINA) akiongea na wanaarusha |
No comments:
Post a Comment