![]() |
| Mapokezi ya Mh Lowasa katika Uwanja wa Ndege Wa KIA |
![]() |
| Mh Ndessamburo mbunge wa moshi Mjini akiwa na Mh Joseph Selasini pamoja na Mh Lembeli |
![]() |
| Mwasisi wa Chadema Mzee Edwin Mtei akisalimiana na Mh Edward Lowassa |
![]() |
| Mh Mbowe akihutubia wananchi wa Arusha na Viunga vyake katika Viwanja vya Tindigani |
![]() |
| Mwasisi wa Chadema Mzee Edwini Mtei akimpongeza Mh Lowasa kwa kufanya maamuzi Magumu ya kuachana na CCM na kujiunga na CHADEMA ,pia Amemtakia kilalakheri katika kinyanganyiro cha Uraisi wa Tanzania |
![]() |
| Mh Lowassa pamoja na Mama Regina Lowassa wakipewa heshima za kimila katika Uwanja wa TIndigani wakati akitafuta wadhamini kwa nafasi ya Urais |
![]() |
| Mh Lema akiongea na Wananchi wa Arusha na amewataka wawe wajasiri na kamwe wasiwe waoga katika kutetea Utaifa wao |

![]() |
| Haya ndio mapokezi ya Lowassa katika Mkoa wa Arusha |












No comments:
Post a Comment