![]() |
| Mh Edward Lowassa alipowasili Mjini Kagera Jana katika kampeni zinazoendelea nchi nzima |
![]() |
| Mh Lowasa pamoja na Mh Sumaye wakiwapungia wananchi waliojitokeza kwenye mkutano mkubwa wa Kampeni |
![]() |
| Mh Sumaye akiwahutubia wananchi wa Kagera |
![]() |
| Mh Edward Lowassa akiwahutubia Maelfu ya wanachi wa Kagera waliojitokeza kumsikiliza alipokuwa akimwaga sera zake |
![]() |
| Kagera katika ubora wake |








No comments:
Post a Comment