Watu wasio fahamika walifanya njama chafu na mbaya za kuhujumu miundo mbinu ya chama,waliruka ukuta na kuzunguka nyuma ya jengo na kutoboa silingiboard na kuingilia bafuni na kuwasha moto.
| Chumba cha bafu ambako hujuma hizo zilifanyika |
| Sehemu iliyo ungua ndani ya chumba cha bafu |
| Hili ndio eneo walilotoboa na kuingia ndani |