| Wajumbe wa mkoa wa Tanga walio hudhuria mafunzo ya Chadema ni msingi |
| Katibu wa Mkoa wa Tanga Ndugu Jonathan Baweje akiongea na wajumbe wa mkoa wake wa Tanga katika mafunzo ya Chadema ni Msingi |
| Katibu wa BAVICHA Taifa,Ndugu Deogratus Munishi akitoa Mafunzo ya Chadema Ni Msingi kwa wajumbe wa Mkoa wa Tanga |
| Katibu wa Kanda ya Kaskazini Ndugu Amani Golugwa akifuatilia mafunzo ya Chadema ni msingi mkoa wa Tanga |