| Makanada wa kiwasili eneo la Sombetini huku wakilakiwa na umati mkubwa wa watu |
| Mh Tundu Lisu, Mawazo,Joshua Nassari,Deo Munishi wakiwasili eneo la Mkutano |
| Mh katibu wa kanda Amani Golugwa, Mh Tundu Lissu ( Mwanasheria Mkuu wa Chadema),Mh John Heche ( Mwenyekiti wa Bavicha Taifa) katika picha ya Pamoja |
| Katibu wa Kanda ya kaskazini Amani Golugwa akiwasalimia makamanda wa Sombetini |
| Katibu wa Bavicha Taifa Ndugu Deogratius Munishi akiwahamasisha wananchi wa Sombetini kujitambua |
| Mwenyekiti wa Bavicha Taifa Ndugu John Heche akisema na makamanda wa Sombetini |
| Wananchi wa Sombetini wakiwa kwenye amasakubwa ya ushindi |
| Mh Tundu Lissu akiongea na wananchi wa Sombetini |
| Diwani Mtarajiwa wa Kata ya Sombetini akimtambulisha Mke wake kwa wananchi wa Sombetini |
| Mr & Mrs Ally Bananga |
No comments:
Post a Comment