| Makamanda Toka Arusha wakijiandaa kwenda Tanga kuwapa sapoti makamanda wa Kiomoni |
| Makamanda wakiwa na Mh Katibu wa Kanda pamoja na Mh Mbuge Joyce Mkya maeneo ya forodhani mjini Tanga wakipanga mikakati mbali mbali ya ushindi wa udiwani kata ya kiomoni. |
| Ndugu Amani Golugwa (katibu wa Kanda ya Kaskazini ) Akisalimiana na mgombea mteule wa udiwani kata ya kiomoni Bi Mwanaisha Omari,muda mfupi baada ya kuwasili kwenye ngome |
| Bi Mwanaisha Omari akisema jambo kwa Viongozo wa Chadema |
| KIzazi kijacho cha Kiomoni |
| Viongozi mbali mbali wa Chadema wakisikiliza kwa makini, katika kampeni za uchaguzi wa udiwani kata ya kiomoni uliofanyika eneo la Kivuleni |
| Katibu wa Kanda Ndugu Amani Golugwa akimnadi mgombea wetu Bi Mwanaisha M Omary |
| Baada ya Mkutato watu wanaburudika kwa kucheza nyimbo za mahadhi ya Pwani |
| Ndugu Amani Golugwa akipata Kahawa na Makamanda wengine baada ya mkutano |
No comments:
Post a Comment