Walijitokeza watu wengi walio msapoti mgombea Ally Bananga.
| Wananchi walio jitokeza kwenye mkutano wa Chadema ,wa kampeni za udiwani katika viwanja vya kitopeni |
| Mh Mbunge wa Arusha Mjini ,Ndugu Godbless Lema pamoja na makamanda wengine waliohudhuria mkutano huo wa kampeni za udiwani |
| Mgombea Udiwani Ndugu Ally Bananga akiongea na wananchi wa Kitopeni katika kampeni za Udiwani wa kata ya Sombetini |
| Mh Godbless Lema akimnadi Mgombea udiwani Kupitia tiketi ya Chadema katika kata ya Sombetini Ndugu Ally Bananga |
| Mh Godbless Lema akiongea na wananchi wa Kata ya Sombetini |
| Maandamano ya Kumsindikiza Mgombea Udiwani wa kata ya Sombetini Ndugu Ally Bananga |
| Huu ndio umati ulio ambatana na Ndugu Ally Bananga |
| Maandamano katika barabara kuu ya Arusha -Babati |
No comments:
Post a Comment