| Wajumbe walio hudhuria Uchaguzi wa Jimbo la Arusha Mjini |
| Kamada Mbowe akiwasili ukumbini na kupata mapokezi makubwa kutoka kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Jimbo |
| Viongozi wakiimba Wimbo wa Taifa |
| Wajumbe wa mkutano mkuu wakiimba wimbo wa Taifa |
| Mwenyekiti wa Taifa Mh Mbowe akiwa na Katibu wa Kanda Amani Golugwa, Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema na Joyce Mkya Mbunge wa Viti Maalum |
| Mwenyekiti anaye maliza muda wake Ndugu Ephata Nanyaro aliongea na wajumbe wa mkutano mkuu |
| Mh Joyce Mkya Mbunge wa Viti maalum akiongea na wajumbe wa mkutano mkuu wa Jimbo la Arusha Mjini |
| Mh Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini akiongea na wajumbe wa mkutano mkuu kabla ya kuchagua viongozi wa ngazi ya jimbo |
No comments:
Post a Comment