![]() |
| Huu ndio uongozi mpya wa Chadema katika Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara |
![]() |
| Mkt aliemaliza muda wake (OCD mustaafu) Tablani Msangi akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wilaya kabla ya uchaguzi. Baada ya uchaguzi alifanikiwa kutetea nafasi yake kama mkt wa wilaya |
![]() |
| Viongozi wa Bavicha wilaya ya Kiteto Jacob Gurti (MKT), Athumaa Hamis (Ktb) na Asha Rashid (hamasa) |
![]() |
| . Mkt wa Bawacha Mh. Zamzam Ramadhan akiomba kura |
![]() |
|
Viongozi wa Bawacha wilaya ya Kiteto Zamzam
Ramadhan (mkt), Dangilo Athuman (Ktb) na Mariam Isere (M/hazina)
|
![]() |
| . Mkt baraza la Wazee wilaya ya Kiteto Mzee Salim Mohamed Kota |
![]() |
| Wajumbe wa mkutano mkuu wilaya ya Kiteto |
![]() |
| Mgombea nafasi ya mjumbe wa mkutano mkuu taifa ndg. Hamza Mdachi akiomba kura kwa wajumbe lkn kura hazikutosha |








No comments:
Post a Comment