Mafunzo haya yamelenga Kukumbushana wajibu wa Kila kiongozi katika ngazi husika.
| Katibu wa Kanda na Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha Mh Amani Golugwa akibadilishana mawazo na Kamanda Kisheri Mchele kabla ya Mafunzo kuanza |
| Viongozi wa Wilaya/Majimbo Saba ya Mkoa wa Arusha wakiwa Kwenye Mafunzo |
| Katibu wa Mkoa wa Arusha Mh Kalisti Lazaro akifafanua jambo kupitia Katiba ya Chadema |
| Mwenyekiti wa Kanda Mhe Israel Natse akiwa na Katibu wa Kanda na Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha Mh Amani Golugwa katika semina ya Viongozi Mkoa wa Arusha |
| Mwenyekiti wa Wazee Mkoa wa Arusha Mzee Haruna Fundikira akitoa neno la Kuwajenga Viongozi kitu kimoja katika utendaji wa Kazi |
No comments:
Post a Comment