| Wajumbe wa BAVICHA wakisubiria matokea ya uchaguzi wa Baraza lao |
| Kamanda Nanyaro akiwa na kamanda mwenzake wakati wakisubiria matokea ya BAVICHA |
| Wajumbe wa BAVICHA wakipiga Kura kuchangua viongozi wa baraza lao ngazi ya Taifa |
| Mhe Grace KIWELU & Mhe Halima MDEE wakijiandaa kuingia kwenye uchaguzi wa BAWACHA |
| Wajumbe wa BAWACHA wakiserebuka kabla ya zoezi la uchaguzi wa baraza lao kuanza |
| Wajumbe wa BAWACHA wakiserebuka kabla ya zoezi la uchaguzi wa baraza lao kuanza..wakitumbuizwa na live band ya M4C BAND |
| Mbunge wa Viti Maalumu Mhe PARESSO akiwa na Mwenyekiti wa BAWACHA Arusha Mjini Mhe Happy Charles. |
| BAWACHA wakiwa katika uchaguzi wa baraza lao |
| Wajumbe wa baraza la Wazee |
| Uchaguzi wa wazee: Wazee wakipitia fifungu mbali mbali vya kanuni kabla ya kuanza kwa zoezi la Uchaguzi wa baraza lao |
No comments:
Post a Comment