| Mhe Mbowe pamoja na viongozi wake wakingia katika hotel ya Serena. |
| Mhe Mbowe akisalimiana na Mrs Makaidi |
| Mhe Moses Machange akipiga salamu ya People's |
| Sugu na Prof J wakiparfom wimbo wao mpya wa CHADEMA /UKAWA |
| Hii ndio top five ya CHADEMA Taifa |
| Mhe ,Freeman A.Mbowe akielezea ni kwa jinsi gani Chama kinatakiwa kujipanga katika rasilimali fedha kwaajili ya kujipanga na operation mbali mbali za chama nchi nzima kuelekea uchaguzi mkuu 2015 |
| Timu ya wabunge wa CHADEMA, ambao ndio walikuwa waratibu wakuu wa zoezi zima la fund raising |
| Mhe Aman Golugwa Akiwasilisha mchango wake wa Mkoa wa Arusha |
| Mhe Mbatia akitoa salamu zake kwa wagen waalikwa |
| Viongozi mbali mbali wa Chama na baadhi ya wagen waalikwa wakifuatilia jambo kwa umakini |
No comments:
Post a Comment