Chama Cha Demokrasia na maendeleo
Chadema kilikuwa na kazi ya
kutafuta kamanda atakaye peperusha
bendera yake katika uchaguzi wa udiwani katika kata ya Sombetini ,na hatimaye
amepatikana ndugu Ally Bananga,katika mchakato huo walijitokeza makamanda 6 ila
Ally Banaga alifanikiwa kushinda kwa 57%
wakati aliye mfuatia alipata asilimia 32% na walio baki ni asilimia wawili
walifungana kwa asilimia 4% na wengine wa mwisho walifungana kwa asilimia 1.5%.
Katibu wa Wilaya ya Arusha Mjini akiongea na wajumbe na viongozi wa kata ya Sombetini walio hudhuria kufanikisha upigaji kura wa kumpata muwakilishi wao ngazi ya Udiwani |
Ndugu Noel Akizungumza na Makamanda kabla ya Uchaguzi |
Ufunguzi wa Sala |
Kabla ya mambo yote Mungu kwanza |
Walio jitokeza kuwania nafasi ya kugombea udiwani kata ya Sombetini kupitia Chadema |
Bi Fatma akiuliza swali kwa mmoja wa wagombea |
Ndugu Ally Bananga akiomba kura za Ndiyo |
Ndugu Abdi Madava akiomba kura za Ndiyo |
Wagommbea katika picha Ya pamoja baada ya kumaliza kuomba kura za ndio kwa Makamanda wao |
Kazi ya kupiga kura ikiendelea |
Kazi ya Kuhesabu kura ,Kila Mgombea alipendekeza Mtu wake |
Makamanda wakisubiria matokeo kwa shahuku kubwa |
Ndugu Noel Akitangaza Matokeo |
Wagombea wakipongezana na kukuballiana na matokeo |
No comments:
Post a Comment