MAHAFALI YA PILI YA CHASO MKOA WA ARUSHA 2015

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA
 



BARAZA LA VIJANA WA CHADEMA

CHADEMA STUDENT ORGANIZATION (CHASO) –ARUSHA

MAHAFALI YA PILI YA CHASO ARUSHA
Ndugu Makamanda ,Viongozi na wakereketwa mnaalikwa katika maafali yatakayofanyika tar 17/05/2015 katika  ukumbi wa NEW SAFARI HOTEL kuanzia SAA TANO ASUBUHI.
Lengo ni kuwahaga makamanda waliohitimu masomo yao katika ngazi za CHETI, STASHAHADA na SHAHADA ya kwanza kwa Vyuo vya mkoa wa Arusha.
Mgeni Rasmi katika mahafali haya atakuwa Mhe Naibu Katibu Mkuu Zanzibar SALUM MWALIM.
Karibuni makamanda 
.
Kitalika ,Titho .E
Mratibu wa CHASO -ARUSHA

No comments: