MKUTANO WA CHAMA NA WADAU WILAYA YA MONDULI

Wilaya ya Monduli imefanikiwa kufanya kikao cha Ujenzi wa Chama kuanzia ngazi ya Msingi, kiako hiki ambacho kilishirikisha Viongozi wa Chama na Wadau ambao walijitikeza kujadili mambo mbali mbali  ya ujenzi wa Chama.

Kikao hiki nicha kwanza   kutoka Uchaguzi mkuu 2015, na kimekuwa chenye mafanikio makubwa na wameazimia kujenga chama kwa Umoja wao.

Tukutane kwenye Misingi 
Mbunge wa Monduli Mh Julius Kalanga akiongea na VIongozi wa Chama na wadau wa Wilaya ya Monduli

Wajumbe wa Mkitano wa Wadau

Mbunge wa Monduli Mh Julius Kalanga akiongea na VIongozi wa Chama na wadau wa Wilaya ya Monduli

Picha ya Pamoja ya Wadau wa Chadema Monduli


No comments: