KIKAO CHA KAZI ARUMERU MASHARIKI.


Wajumbe wakifuatilia Maelekezo ya Katibu wa Kanda Juu ya Kuimarisha Chama
Katika kuendelea na Ujenzi wa Kuimarisha  Chama Ambacho Kinajiandaa Kutwaa Dola Mwaka 2020, Leo Katibu wa Kanda na Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha Mh Amani Golugwa amekutana na Madiwani wa Meru  pamoja na Kamati Tendaji ya Arumeru Mashariki.


Katika Kikao hiki amewakumbusha  Viongozi wajibu wao  kwa ngazi ya Uwakilishi na Utendaji ndani ya Chama.
"Ili chama Kisonge Mbele tunatakiwa kuongeza wanachama ambao ni mtaji wa Chama chochote cha Siasa, hivyo tunatakiwa kufungua misingi katika  Maeneo Yetu ".




Katibu wa Kanda Mh Amani Golugwa Akifafanua Njia ambazo zitatumiaka katika ujenzi wa Chama kwenye ngazi ya Msingi



No comments: