KIKAO CHA KANDA NA WABUNGE KANDA YA KASKAZINI


Mwenyekiti wa Wabunge Mh Joseph Selasin Akifungua Kikao 

Katika kuendelea na ujenzi wa Chama katika Maeneo yetu kuanzia ngazi ya Msingi, Leo Secretarieti ya chama ngazi ya Kanda imekutana na Wabunge Wote wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini kwa Lengo la kuhuisha utendaji wa kazi za kisiasa na ujenzi wa Misingi.
Katibu wa Kanda Mh Amani Golugwa Amewakumbusha Wabunge Pamoja na Kufanya kazi za Maendeleo katika Majimbo/Wilaya zao Bado kazi ya Siasa ipo pale pale.
Ujenzi wa Misingi umelenga kuzalisha wanachama katika ngazi ya Msingi.
MSINGI IMARA, UKUTA IMARA”
Katibu wa Kanda Mh  Amani Golugwa Akifafanua Jambo wakati wa Kikao cha Kanda
Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema Akichangia Mada katika Kikao Cha Wabunge
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Mh Joyce Mukya Pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Mh Lucy Owenya Wakifuatilia Kwa Makini Mafunzo katika Kikao 
Wabunge na Maafisa wa Kanda wakifuatilia Mafunzo

Wajumbe wakifuatilia Mafunzo



No comments: