BAWACHA KILIMANJARO YAFANYA ZIARA KWENYE MAJIMBO YAKE

Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Kilimanjaro na Viongozi wa BAWACHA Jimbo la Same Mashariki Baada ya Kikao

  Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa Kilimanjaro  Mh GRACE KIWELU pamoja Mh LUCY OWENYA wakiangalia uhai wa Bawacha na kuhamasisha Viongozi wa Bawacha Kushuka hadi ngazi ya Msingi ili kuimarisha Chama, pia wamepewa mbinu za ujenzi wa ukuta September 1  Jimbo la Same Mashariki




No comments: