Kutoka Mahakama Kuu Arusha, atimaye Kesi iliyokuwa inawakabili Madiwani wa Meru na Mbunge wao Joshua Nassari kwa uharibifu wa Mali Imefutwa Muda Huu.
Hivyo wote wapo huru.
![]() |
Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh Joshua Nassari akiongea na waandishi wa Habari baada ya Kesi iliyokuwa ikiwakabili kufutwa katika Mahakama Kuu Arusha |
No comments:
Post a Comment