KIKAO CHA KAZI ARUSHA MJINI.

Katibu wa Kanda ya Kaskazini Mh Amani GolugwaAkiongea na madiwani na wajumbe wa kamati tendaji Arusha Mjini Mapema Leo Tarehe 01/08/2016

Katibu wa Kanda ya Kaskazini Mh Amani Golugwa Leo amekutana na Madiwani na Wajumbe wa kamati Tendaji ya Wilaya ya Arusha Mjini katika ofisi CHADEMA wilaya.

Lengo la kikao hiki ni kuuhisha uhai wa Chama na kuwakumbusha wajibu wao. Sambamba na hayo pia Amewataka kushuka hadi ngazi ya Msingi ambapo ndipo walipo wanachama watu kwa Lengo la kujenga Msingi na kuongeza idadi ya Wanachama.

"Chama ambacho akiongezi wanachama ni Tasa, nasisi hatutakiwi kuwa Tasa. "
Tushuke kwa umoja wetu kwenda kukiimarisha Chama kuanzia ngazi ya Msingi.
Katibu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mh Lewis Kopwe Akifungua Kikao

Wajumbe wakifuatilia kwa Umakini maelekiezo ya Katibu wa Kanda Mh Amani Golugwa




No comments: