NGORONGORO WAITIKIA UJENZI WA CHAMA KUANZIA NGAZI YA MSINGI

Wajumbe wakifuatiliamafunzo
 Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Arusha ,Kamanda Jenipher Mwasha Leo Amefanya kikao cha ndani na Viongozi wa Wilaya ,Kamati Tendaji ya Wilaya na Viongozi wa Kata. Lengo la Kikao Hiki ni kuuwisha uhai wa Chama Kuanzia ngazi ya Msingi kwenda hadi Taifa.
Ili chama kiwe na Nguvu tunatakiwa kujenga Misingi ambayo itazalisha wanachama ambao ndio mtaji wa chama cha Siasa.
 


No comments: