USHINDI WA MBOWE WATIKISA TANZANIA

 Hatimaye Mhe Freeman Aikael Mbowe Amechaguliwa Tena kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa,amepata asilimia 97.3 ya kura zote, makamu mwenyekiti Bara ni Profesa Safari na makamu mwenyekiti Zanzibar ni Saidi  Issa  Mohamedi







Wajumbe wakishangilia ushindi wa Mhe Freeman Mbowe




No comments: