| Katibu wa Bawacha Karatu Mhe Debora Thomasi akitoa Muongozo/utaratibu wa Mkutano |
| Mhe Cecilia Daniel Paresso (MB) Viti Maalumu na Mwenyekiti wa
BAWACHA Karatu akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa BAWACHA
Karatu |
| Mhe Cecilia Daniel Paresso (MB) Viti Maalumu na Mwenyekiti wa
BAWACHA Karatu akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa BAWACHA
Karatu |
| Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Arusha Mhe Cecy Samson akiwasalimia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Bawacha Karatu na kuwatakia uchaguzi mwema |
| Wajumbe wa Mkutano Mkuu Bawacha Karatu |
No comments:
Post a Comment