MHE FREEMA A.MBOWE AFUNIKA KANDA YA VICTORIA

Maelfu ya wananchi wajitokeza kumsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kijijini Lagangabili jimbo la Itilima mkoani Simiyu jioni ya jana (Aprili 23, 2015) wakati wa uzinduzi wa FTP 200 ambao ni mpango wa ulinzi wa kura.
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa wilaya ya Itilima katika Mkutano wa hadhara ulifanyika katika viwanja vya Lagangabili katika Makao Makuu ya ya Wilaya

Nguvu ya umma katika ubora wake

No comments: