SEMINA YA VIONGOZI WA WILAYANI LUSHOTO


Mhe Profesa Safari afungua Semina ya mafunzo kwa Viongozi Wilayani Lushoto, katika Msafara wake ameambatana na Mhe Rebecca Mgodo (MB) Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mohamedi Mtoi  pamoja na Kaduma General, Semina hii inalengo la kuwaongezea uwezo viongozi wetu katika ngazi zote kuanzia Serilaki za Mitaa hadi ngazi ya Wilaya





Mohamed Mtoi akisalimia wajumbe walio huzuria Semina

Profesa Safari akizindia Semina ya Viongozi wa Wilaya ya Lushoto

Wajumbe waliofika kwenye Semina








General Kaduma akifafanua jambo wakati wa Mafunzo ya viongozi wilayani Lushoto

No comments: