ZIARA YA KATIBU WA KANDA MHE AMANI GOLUGWA KATIKA WILAYA YA HANANG

Katibu wa Kanda Mhe Amani Golugwa amefanya ziara katika Wilaya ya Hanang, Tarehe 03/03/2015,Lengo la ziara hii ni kufanya tathimini ya kisiasa katika wilaya ya Hanang na kupanga mikakati ya kujianda na Uchaguzi mkuu wa October mwaka huu, Jambo lingine ni kuhakikisha kuwa wananchi wanahamasishwa kujitokeza kuandikishwa kwenye daftari la kudumu la mpiga kura BVR,Pindi zoezi hilo litakapo kuwa limefika katika maeneo yao. Jambo lingine  Katibu wa Kanda aliwakumbusha viongozi kujua wajibu wao kutokana na dhamana waliyo kabidhiwa na wananchi katika maeneo husika.
Katibu wa Wilaya ya Hanang Ndugu Charles Chuhila akisoma ripoti ya Wilaya kwa Katibu wa Kanda Mhe Amani Golugwa

Madiwani wa Wilaya ya Hanang Kwa tiketi  Chadema

Wajumbe wa Wilaya wa Hanang

Katibu wa Kanda Mhe Amani Golugwa Akiongwa na wajumbe waliofika katika kikao cha ndani Cha kufanya tathimini ya kisiasa katika Wilaya ya Hanang,

No comments: