KATIBU WA BAWACHA TAIFA MHE GRACE TENDEGA AFANYA MKUTANO MKUBWA WA ADHARA



Katibu wa BAWACHA Taifa Mh Grace Tendega jana alifanya mkutamo mkubwa wa adhara eneo la SOKO KUU Mjini Arusha katika kuhitimisha Mkutano mkuu wa BAWACHA (W) ARUSHA MJINI. Pia amewashukuru wanachi wa Arusha walioenda kumpigania katika marudio ya kampeni za uchaguzi mdogo wa Kalenga."NAWASHUKURU SANA MAKAMANDA WA ARUSHA KWA KUNIIMARISHA KISIASA"-Tandega
Arusha katika Ubora wake

Hii ndio BAWACHA Arusha



Mwenyekiti wa BAWACHA Mhe Cecy Ndosi akiwakaribisha makamanda walio fika kwenye mkutano wa BAWACHA eneo la SOKO KUU waliofika kwa wingi kumsikiliza Katibu wa BAWACHA Taifa Mhe Grace Tendega


No comments: