MKUTANO MKUU WA BAWACHA (W) ARUSHA MJINI

Katibu wa BAWACHA Taifa Mhe Grace Tendega , Katibu wa kanda Mhe Amani Golugwa wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa BAWACHA Mkoa wa Arusha na wilaya ya Arusha Mjini wakijiandaa kuingia katika mkutano mkuu wa BAWACHA (W) Arusha mjini

Katibu wa Chadema Kanda Ya Kaskazini Mhe Amani Golugwa pamoja na Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Arusha Mhe Cecy Samson walipo wasili katika Mkutano mkuu wa BAWACHA Wilaya ya Arusha Mjini









BAWACHA wakiimba wimbo wa Taifa

Katibu wa BAWACHA Taifa Mhe Grace Tendega (katikati),Katibu wa Kanda na Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha Mh Amani Golugwa (katikai),Mhunge wa Arusha Mjini Mh Lema (Kushoto) na Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Arusha Mh Cecy Ndosi ( Kulia) wakiimba wimbo wa Taifa




Katibu wa BAWACHA Taifa Mh Grace Tendega

Mke wa Mbunge Mh Lema amewapongeza Wanawake wa Arusha Mjini kwa ukomavu wa kisiasa walio uonesha

Uongozi wa BAWACHA Wilaya ya Arusha Mjini

Kikundi cha Ngoma za kiasili kikitumbuiza kwenye mkutano mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini

Viongozi nao hawakuwa nyuma kucheza ngoma ya asili wakiongozwa na Katibu wa BAWACHA Taifa Mhe Tendega pamoja na Katibu wa Chadema Kanda Ya Kaskazini Mh Golugwa




BAWACHA Wakiserebuka

Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Arusha Mhe Cecy Ndosi akiongea na BAWACHA Arusha Mjini




Katibu wa BAWACHA Taifa Mhe Grace Tendega amewahasa wanawake wa Arusha na Tanzania kwa Ujumla kuacha kutegemea kuwezeshwa wakati umefika sasa kufanya kazi kwa bidii katika jamii zao na ndani ya Chama,
"HUU SIO MUDA WA MALUMBANO NI MUDA WA KAZI TU HUKU TUKIMTANGULIZA MUNGU"-Tendega

Katibu wa BAWACHA Taifa Mhe Grace Tendega azindua vazi la BAWACHA Arusha Mnjini



No comments: