MHE GODBLESS LEMA AMEFANYA MAKABIDHIANO YA ENEO LA UJENZI WA HOSPITALI YA MAMA NA MTOTO


Makabidhiano ya Eneo la Ujenzi wa Hospitali ya mama na Mtoto kwa Maternity Afrika.
Martenity Afrika ni taasisi Huru inayoshughulika na uzao bora na uzazi ya Mama na Mtoto wakati wa Kujifungua.
Makabidhiano hayo yamefanywa Kati ya Mbunge wa Arusha Mjini Mhe Godbless Lema na Taasisi ya Maternity Afrika kwa ajili ya Ujenzi wa Hospitali ya Mama na Mtoto yenye thamani ya Bilioni Saba (7) fedha za Kitanzania.
Mbunge wa Arusha Mjini Mhe Godbless Lema (katikai),Meya wa Jiji la Arusha Mjini Mhe Gaudence Lyimo(kulia) na Mwenyekiti wa Arusha Development Foundation Mr Elifuraha P .Mtowe (kushoto) walikagua eneo ambalo litajengwa Hospitali ya Mama na Mtoto
Wananchi waliojitokeza kushuhudia makabidhiano

Wananchi waliojitokeza kushuhudia makabidhiano

Mwenyekiti wa Arusha Development Foundation Mr Elifuraha P.Mtowe akisoma yake ya kuwashukuru ArDF Kwa Moyo wao wa kuhudumia jamii

Mwenyekiti wa Arusha Development Foundation Mr Elifuraha P.Mtowe akisoma yake ya kuwashukuru ArDF Kwa Moyo wao wa kuhudumia jamii



Utiaji Sahihi wa hati za eneo la Ujenzi wa Mama na Mtoto

Makabidhiano ya hati za kiwanja

Mkurugezi wa Martinaty Africa akiwashukuru Watanzania kwa kuwapokea kwaajili ya kusaidia jamii ya Kitanzania, Pia amempongeza Mhe Lema kwa Moyo wake wa Kujali jamii

Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali

Mhe Lema akiwashukuru wanachi walio jitokeza bila kujali hitikadi zao za kisiasa kuja kushuhudia makabidhiano ya eneo la ujenzi wa Hospitali ya mama na mtoto."NIMETOA ENEO HILI SIO KWASABABU TUNAELEKEA KWENYE UCHAGUZI BALI KWASABAU NAJALI UTU"

Mawala Advorcates

Picha ya pamoja baada ya makabidhiano

No comments: