Mkutano Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini

Mkutano huu umefanyika leo tarehe 10/05/2014 katika ukumbi wa NEW SAFARI HOTEL,mkutano huu umehuzuriwa na Katibu wa Kanda Mh Amani Golugwa,Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless J Lema,Naibu Meya wa Jiji la Arusha, Mh Msofe ,Madiwani wote wa Chadema Arusha Mjini pamoja na Viongozi wa Kata zote 19 za Arusha mjini.
Wajumbe waliohudhuria Mkutamo mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini

Mh Diwani Viola wa Kata ya Lemara akielezea mafanikio waliyoyapata katika almashauri ya Arusha Mjini baada ya kuweza kusimamia kikamilifu


Katibu waKanda ya Kaskazini Ndugu Amani Golugwa akiongea na wajumbe wa mkutano mkuu wa wilaya,amewahamasisha umoja na mshikamano katika ujenzi wa Chama ndani ya Arusha Mjini na nje ya Arusha,







Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema akiwakumbusha wajumbe wajibu wao katika kuwatumikia wananchi pia akielezea nikwajinsi gani watu wa Arusha walivyochangia ujenzi wa chama katika nchi yetu kwa kuwajengea ujasiri wa kutetea haki zao


No comments: