MKUTANO WA WADAU MAJIMBO YA SIHA NA HAI

Mkutano wa wadau katika jimbo la Hai, pia walikuwapo na viongozi wa Chadema ni Msingi katika majiimbo ya Siha na Hai, viongozi hawa wametoa tathmini ya Chadema ni Msingi katika majimbo yao .
Katibu wa Kanda Ndugu Amani Golugwa amewaambia viongozi pamoja na wajumbe wawe watu wa kujitolea na kufanya kazi ili kufikia lengo ambalo watanzania wengi wamekuwa wakituamini katika nyanja mbali mbali katika Nchi yetu.
Viongozi na wadau wakiimba wimbo wa Taifa

Wadau walio hudhuria

Afisa wa kanda  Bi Aminata akiongea na wadau,akielezea mfumo wa kanda unavofanya kazi kuanzia ngazi ya msingi hadi kanda na hata Taifa.

Afisa wa kanda Bwana Innocent Kisanyage akielezea program ya Chadema ni msingi inavyo endelea katika majimbo ya Hai na Siha

Katibu wa Kanda Ndugu Amani Golugwa akiongea na wadau wa Hai na Siha,akiwahimiza  kujituma katika ujenzi wa Chama katika majimbo yao



No comments: