Katibu wa Kanda Mh Amani Golugwa azindua ujenzi wa Ofisi ya CHADEMA kata ya Kiranyi Jimbo la Arumeru Magharibi

Kata ya Kiranyi imekuwa kata ya mfano kanda ya kaskazini baada ya Mama Monica Paul kuamua kujitolea kiwanja ili kujenga ofisi ya Kata. Mama huyu amefikia uamuzi huo baada ya kuona wanapoteza fedha nyingi kwa kupangisha ofisi.
Katika picha anaonekana Mama Monica ambaye ndiye ametoa eneo la kujenga ofisi ya kata ya Kiranyi, naye katibu wa kanda Alikuwa akiongea na makamanda waliojitolea kuifanya kazi ya ujenzi wa ofisi





Katibu wa Kanda akishiriki ujenzi wa Ofisi wa kata kwa kubeba mawe ya kujengea msingi wa ofisi



No comments: