MHE LUCY OWENYA ATOA MSAADA WA VYAKULA KWA WAHANGA WA MAFURIKO T P C

Mafuriko ya haribu miundombinu katika wilaya ya Moshi Vijijini

Mhe Lucy akitembelea maeneo yalio athiriwa na mafuriko











Mazao yameharibiwa kabisa na mafuriko hayo



Hii ndio hali halisi ,miundo mbinu ya barabara imeharibiwa na kujaa maji



Makamanda wakiteremsha msssda wa vyakula ulio tolewa na Mhe Lucy

Mhe Lucy akimfariji mhanga wa mafuriko

Mhe Lucy akikabidhi msaada wa vyakula kwa wahanga wa mafuriko

Diwani wa kata ya Arusha Chini Rojas Mmari akizungumza jambo mara baada ya wananchi wake kukabidhiwa msaada huo.




No comments: