MHE GRACE KIWELU ATOA MSAADA WA WAHANGA WA MAFURIKO MOSHI VIJIJINI


Mhe Grace Kiwelu (MB) viti maalum Mkoa wa kilimanjaro amefanikiwa kutoa msaada kwa wahanga wa mafuriko katika wilaya ya Moshi Vijijini. amefanikiwa kutoa Mchele kilo 200, Mharage kilo 100, Unga kilo 200,Mafuta lita 80 na sabuni miche 25

Hili ndilo gari lillilo peleka misaada hiyo ya vyakula



Hii ndio hali halisi ya mahafa yaliyosababishwa na maafa ya mvua




Katibu wa BAWACHA akiwafariji wahanga kwa miche ya sabuni







No comments: