Chadema Tawi la Alabama Nchini Marekani na Chadema Kanda ya Kaskazini Waridhiana kufanya kazi Kwa Pamoja,Maridhiano hayo yamefikiwa kati ya katibu wa kanda ya kaskazini Ndugu Amani Golugwa na Ndugu Suleman Ng'imba wa Alabama.

Katibu wa Kanda ya kaskazini Ndugu Amani Golugwa Akiongea na waandishi wa Habari wakati wa kutiliana saini makubaliano ya kufanya kazi kwa ushirikiana na tawi la Chadema Alabama Nchini Marekani




Katibu wa Kanda ya kaskazini Ndugu Amani Golugwa na Ndugu Suleman Ng'ima, tawi la Chadema Alabama Nchini Marekani wa kutiliana saini makubaliano ya kufanya kazi kwa ushirikiano.

Katibu wa Kanda ya kaskazini Ndugu Amani Golugwa na Ndugu Suleman Ng'ima, tawi la Chadema Alabama Nchini Marekani wa kikabidhiana mpango wa makubaliano ya kufanya kazi kwa ushirikiano.



Mh.Amani Golugwa,akionesha document yenye Mpango mzima wa makubaliano ya kufanya kazi kwa pamoja na Alabama.

Mh.Suleman Ng'imba Kiongozi wa Watanzania wa tawi la Chadema,Alabama Nchini Marekani






No comments: