KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA SOMBETINI ZASHIKA KASI

Kampeni za udiwani leo zilifanyika katika uwanja wa kitopeni  na baadae maandamano ya kumsindikiza mgombea udiwani Ndugu Ally Bananga,Maandamano hayo yalio anzia viwanja vya kitopeni kupitia bara bara ya Arusha -Babati na hatimae kuishia Ngome ya Chadema iliyopo Ngusero mwisho wa haice.
Walijitokeza watu wengi walio msapoti mgombea Ally Bananga.

Wananchi walio jitokeza kwenye mkutano wa Chadema ,wa kampeni za udiwani katika viwanja vya kitopeni



Mh Mbunge wa Arusha Mjini ,Ndugu Godbless Lema pamoja na makamanda wengine waliohudhuria mkutano huo wa kampeni za udiwani


Mgombea Udiwani Ndugu Ally Bananga akiongea na wananchi wa Kitopeni katika kampeni za Udiwani wa kata ya Sombetini

Mh Godbless Lema akimnadi Mgombea udiwani Kupitia tiketi ya Chadema katika kata ya Sombetini Ndugu Ally Bananga

Mh Godbless Lema akiongea na wananchi wa Kata ya Sombetini

Maandamano ya Kumsindikiza Mgombea Udiwani wa kata ya Sombetini Ndugu Ally Bananga

Huu ndio umati ulio ambatana na Ndugu Ally Bananga


Maandamano katika barabara kuu ya Arusha -Babati

No comments: