UJENZI WA CHAMA ( CHADEMA NI MSINGI)

Habari za Asubuhi Makamanda,napenda kuwakumbusha kuwa zoezi la Chadema ni Msingi linaendelea.katika majimbo yote.
Tunaombwa tushiriki kwa ukamilifu ili tuweze kuwa na Chama imara kuanzia ngazi ya Msingi hadi Taifa.
Nawatakia ujenzi mwema wa Chama ndani ya Nchi yetu.

No comments: