Mkutano wa Wadau wa CHADEMA WILAYA YA KOROGWE


 Venue/Ukumbi:WHITE HOUSE. Day: Saturday 19-04-2014 Time/Muda:4 Asubuhi-8 Mchana Mada: Stake holder's participation/ushiriki wa Wadau katika ujenzi wa CHAMA. Kutambua Wadau wa CHAMA na Wadau Kutambuana (Sharing of Ideas & Experience). Watoa mada: Zonal Secretary General (Katibu wa Kanda),Reginal Sectretary(Katibu wa Mkoa) Zonal Officers (Afisa Kanda) & Wadau kuchangia kwa namna ya kuboresha mada. Karibuni sana Makamanda. Kwa mawasiliano zaidi; 0688-703187, 0712-703187 barua pepe kisanyageinnocent@yahoo.com.

No comments: