MKUTANO WA ADHARA WA MH MBOWE ULIOFANYIKA JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI TAR 31/05/2014

Mh Mbowe na viongozi wengine wa Chama walipo wasili Katika viwanja vya mkutano eneo la Nduruma-Arumeru Magharibi
Mh Mbowe akiwa na Mh Lema ,wakiwasalimia wazee wa Jimbo la Arumeru Magharibi

Hawa ndio viongozi mbali mbali walio udhuria mkutano


Wazee wa kimila wa Kimasai wakimkabidhi Mh Mbowe vifaa vya kijadi ( fimbo,blanket na Kigoda ) na kumtambulisha rasmi kama Laiguanani wa jamii yao

Mh Mbowe ndani ya vazi la kijadi la kimasai (Laiguanani)



Mh Lema,Mbunge wa Arusha Mjini akihutubia wananchi wa Arumeru Magharibi

Mh Amani Golugwa,Katibu wa Kanda ya Kaskazini akiwahutubia wananchi wa Jimbo la Arumeru Magharibi

Mh Aikaeli Mbowe,Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mbunge wa Jimbo la Hai,akihutubia wananchi wa Arumeru Magharibi, akiwaelewesha kujitambua na kuwaelimisha kuhusu mchakato wa Katiba mpya


Mh Mbowe akiwapatia wananchi  waliojiunga na Chadema wakitokea CCM


No comments: