KUSOGEZWA MBELE TAREHE YA KURUDISHA FORM ZA KUGOMBEA UONGOZI JIMBO LA ARUSHA MJINI

Asalaam!!
Tunaomba kuwajulisha kuwa muda wa kurudisha form za nafasi mbali mbali za uongozi jimbo la Arusha Mjini umesogezwa mblele hadi tarehe 24/07/2014 Siku ya Alhamisi.
Saa 10:00 Jioni,
Karibuni sana form bado zinapatikana ofisi ya Mkoa wa Arusha,
Ukipata taarifa hii mjulishe na mwenzako.
VICTOR KINGU- Afisa mratibu wa uchaguzi Kanda.

No comments: