Matukio mbali mbali katika ufunguzi wa Mkutamo Mkuu wa Chadema

Leo ni siku maalumu kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Wageni toka nchi mbali mbali dunia wamekusanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam pamoja na wana Chadema katika mkutano mkuu wa CHADEMA.
Wajumbe wakimba wimbo wa Chadema

Dr.Wilbroad Slaa Katibu mkuu wa Chadema akisalimiana na Mh Mbatia ndani ya ukumbi wa Mlimani City

Hii ndio hali alisi ya ukumbi wa Mlimani City

Wageni waalikwa toka nchi mbali mbali duniani

Mh Mbowe akiwasili ndani ya kumbi wa Mlimani City


Mweyekiti wa Chadema Taifa  Mh Freeman Mbowe akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chadema Taifa Dr.Wilbroad Slaa Ndani ya Ukumbi wa Mlimani City

Meza kuu imejumuisha viongozi wa vyama vya upinzani  (Ukawa)

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini Mh Israel Natse pamoja na Katibu wa Kanda ya kaskazini Mh Aman Golugwa  wakishangilia kwa furaha


hali ilivyo ndani ya ukumbi wa Mlimani City

No comments: