Mbuge wa Arumeru Mashariki Mhe:Joshua Nassari ameongea na waandishi wa habari kuhusu afya yake
Mbuge
wa Arumeru Mashariki Mhe:Joshua Nassari ameongea na waandishi wa habari
muda mfupi katika ofisi za chadema mkoa Arusha baada ya kuwasili kutoka
Dar es Salaam kwenye matibabu na jeshi la
polisi mkoa wa Arusha kuwazuia wananchi wake .