Engineer Jeremia Mpinga amekanusha kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha Udiwani kata ya Elerai kupitia Chadema
Diwani
mtarajiwa wa Elerai kupitia chadema Engineer Jeremia Mpinga amekanusha
kuwa yeye hajajitoa kwenye kinyanganiro cha udiwani,bado yeye ni Mgombea
halali wa udiwani kupitia Chadema —