KATIBU WA KANDA MHE:AMANI GOLUGWA AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI LEO KATIKA OFISI ZA CHAMA ARUSHA

Mhe Katibu wa Kanda, ndugu Amani Golugwa akiiongea na waandishi wa habari kushu kukamilika kwa maandalizi ya wa kikao cha uongozi wa baraza la kanda pamoja na mkutano wa wadau utakao fanyika tarehe 14 & 15 /02/2015




Mhe Katibu wa Kanda, ndugu Amani Golugwa akigawa Nyenzo za habari kwa baadhi ya waandishi wa habari wa Arusha Mjini kwa lengo la kupanua na kuboresha wigo wa habari.

Mhe Katibu wa Kanda, ndugu Amani Golugwa akionesha vitatu ambavo ni vya mwongozo wa uwajibikaji wa viongozi wa Serikali za mitaa waliochaguliwa kwa tiketi ya CHADEMA


Waandishi wa habari wakipokea taarifa kutoka kwa Katibu wa Kanda Ndugu Amani Golugwa, kwaajili ya wanachi kupitia vyombo vya habari



Mwenyekiti wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe Magoma Derick Magoma akihairisha press

Baadhi ya madiwani walio udhuria press

No comments: